PICHA ZA RAIS SAMIA AKIINGIA BUNGENI KULIHUTUBIA BUNGE LA PAMOJA LA KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akihutubia Bunge la Kenya lililo na mjumuiko wa wabunge wa Seneti na Bunge la Kenya.